Tuesday, December 6, 2011

DANCERS PIA WAPO GLORIUS CELEBRATION LVE BAND






Hapa wapendwa wakiserebuka kutokana na umbaji wa glorious celebration wanavyoimba, hakika glorious celebration live band wanakonga nyoyo za watu. mamuona hapa BONIFACE MAGUPA-mtangazaji Chanel Ten.Yupo pia THOMAS mhimbaji nyimbo za injili,SALAS MBISE-Mtangazaji wapo radio,GADIEL-Mtangazaji pia,yupo pia MASANJA MKANDAMIZAJI ndani ya nyumba watu wanaserebuka kweli kweli

Mambo ya Glorious Celebration live band






Hapa glolius wakifanya vitu vyao yaani wanaimba kwa kujituma

Na mm pia nilikuwepo