Tuesday, December 6, 2011






Hapa wapendwa wakiserebuka kutokana na umbaji wa glorious celebration wanavyoimba, hakika glorious celebration live band wanakonga nyoyo za watu. mamuona hapa BONIFACE MAGUPA-mtangazaji Chanel Ten.Yupo pia THOMAS mhimbaji nyimbo za injili,SALAS MBISE-Mtangazaji wapo radio,GADIEL-Mtangazaji pia,yupo pia MASANJA MKANDAMIZAJI ndani ya nyumba watu wanaserebuka kweli kweli

No comments: