
World Agape Ministries was founded by Rev Vernon and Pastor Anny Fernandes who both received the call of God at different intervals and in different nations but who both studied in the same bible school in the US.
Rev. Vernon Fernandes, a Tanzanian citizen, born and brought up in Tanga, got born again in Arusha on 8th July, 1979 and was visited by the Holy Spirit on 10th July, 1979 when he met with a Motor bike accident while traveling from Arusha to Tanga. He encountered the same experience that Apostle Paul encountered on the way to Damacus. A bright light shone and threw him down. And the Lord spoke,” I am the Lord you seek”
Huduma ya Agape ilianzishwa na Mtume Vernon Fernandes na Mchungaji Kiongozi Anny Fernandes wote kwa pamoja walipokea mwito wa Mungu kwa njia tofauti na katika nchi tofauti lakini wote walisoma chuo kimoja cha Biblia huko Marekani.
Mtume Vernon Fernandes, ni Raia wa Tanzania, alizaliwa Tanga, akaokoka akiwa Arusha Tarehe 8 mwezi 7 1979 na alijazwa Roho Mtakatifu Tar 10 mwezi wa 7 1979, mara alipopata ajali ya pikipiki alipokuwa anatokea Arusha
No comments:
Post a Comment