Friday, November 14, 2008




Pia mwalimu wetu ambaye ametoka Finland MR PIEK JOHANSSON alitufundisha vizuri sana. Na Mr MJENGWA ambaye alikuja siku hii ya mwisho naye pia alitupa changamoto nyingine mbalimbali.Kwa kifupi nimeifurahia sana hii WORKSHOP.

AKSANTE

No comments: