Wednesday, November 18, 2009

DARASA ATN


Hapa pia wanafunzi wakichukua notis kwa yale wanayofundishwa, pia ukiangalia vizuri, utamwona hata mtangazaji wa kipindi cha KIJANA NA MAISHA cha ATN yaani AGNES GERALD,yupo naye akiongeza ujuzi.

No comments: