Pia nimepata kuwajua wana habari wengine na kuweza kubadilishana mawazo na kupeana changamoto mbalimbali.
Najua nimepata kitu kizuri sana na nitaenda kuwafundisha na wengine ambao hawajui, na ninajua pia nitazidi kujenga mtandao wa umoja baina wanahabari.
No comments:
Post a Comment