TANZANIA EDITORS WORKSHOP
Mimi ni SEKELA MOSES, kwa mimi bibafsi nimefurahia sana hii workshop kwa sababu nimejifunza mambo mengi ambayo nilikuwa siyajui.
Kwa mfano nilikuwa sijui kama kuna blog na mimi pia naweza kuifungua, pia nilikuwa sijui kama naweza kupata habari za magazeti, ya nchini kwetu na nchi za nje lakini sasa nimejua.
Pia nimejua jinsi ya kuweka picha, kama mimi mwenyewe nitaamua kupiga picha na kuziweka kwenye blog yangu au hata picha za mtu mwingine.
Pia nimejifunza kuwa kumbe naweza kuwavutia watu wengine kwa habari mbalimbali kwa kuweka matukio yanayotokea katika nchi yetu na nchi mbalimbali
No comments:
Post a Comment