Sunday, November 22, 2009

HII NI AGAPE PIA


Huyu ni Dada BEATRICE akiwa anaongea na watu wanaopiga simu kwa ajili ya kuchangia ATN katika changizo la fedha la kuifanya ATN isonge mbele.Na wewe unakaribishwa uwe mmojawapo wa hao wanaochangia ATN.

No comments: