Saturday, January 30, 2010

AGAPE LIFE CHURCH

Agape life church, kutakuwa na semina kubwa ya shule ya huduma, kuanzia tarehe 1-6 february, na watumishi mbalimbali watahudumu katika semina hii,usikose kuangalia matukio mbali mbali yatakayoonyeshwa katika blog hii kwa picha na maelezo yake, na wewe pia unakaribishwa uje ujifunze mambo tofauti katika kumtumikia Mungu.Mambo utakayofundishwa na watumishi tofauti kutoka mabara mengine usikose kuangalia matukio hayo.

No comments: