Tuesday, November 17, 2009

MIAKA 8 YA ATN


MKURUGENZI WA VIPINDI NA EXCUTIVE PRODUCER ANNY FERNANDES wa kwanza kushoto na NAIBU WAZIRI J. BENDERA anayefuata, ambaye alikuwa mgeni rasmi siku ya kuazimisha miaka 8 ya ATN na MKURUGENZI MKUU WA ATN VERNON FERNANDES, wakipiga makofi kuashiria kuna kitu ambacho wanakubaliana nacho kwa furaha.

No comments: