Tuesday, November 17, 2009

NDANI YA STUDIO ATN


Hapa vijana wakiwa tayari kufanya kipindi cha KIJANA NA MAISHA,na hapa walikuwa wakijadiliana MADA ambayo wataiwakilisha kwa siku hiyo,wakiongozwa na Mtangazaji wao AGNES GERARD.

No comments: